TANZANIA YATAJWA KUWA NI MIONGONI MWA NCHI CHACHE BARANI AFRIKA KATIKA KUWASHIRIKISHA WANANCHI KWENYE UHIFADHI

Tanzania imetajwa kuwa ni miongoni mwa nchi chache barani Afrika ambazo zinatekeleza dhana ya ushirikishwaji wa Jamii katika uhifadhi wa kivitendo kwa kutoa fursa kwa wananchi kushiriki moja kwa moja katika kusimamia rasilimali za wanyamapori Hayo yamesemwa  na  Naibu Katibu wa Maliasili na Utalii, Juma Mkomi  wakati akifungua warsha ya kupitia na kuthibitisha mkakati wa